Responsive image
Responsive image
Posted : September 11, 2017 (8 months ago) By TBC
Responsive image
Shambulizi la kigaidi lililotokea nchini Marekani septembe 11 mwaka 2001
Responsive image

Leo ni miaka 16 ya kumbukizi ya tukio la shambulizi la kigaidi lililotokea nchini Marekani septembe 11 mwaka 2001 lililoua watu takribani 3000.

Katika muendelezo wa kutafuta wahusika wa tukio hilo, licha ya kikundi cha Alqaida kuwa mshtumiwa wa kwanza  bado Marekani inaituhumu nchi ya Saudi Arabia kufadhili washambuliaji wa tukio hilo.

Marekani imesema serikali ya Saudi Arabia ilifadhili vikundi vya kigaidi kutoka  mataifa mawili ya kiarabu ambavyo miaka miwili kabla ya tukio vilikua vikipangana namna ya kufanya shambulio hilo lililotokea kati kati ya minara ya biashara.

Hata hivyo serikali ya Saudi Arabia inaendelea kupinga kuhusika kabisa na mkasa huo.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment