Responsive image
Responsive image
Posted : September 03, 2017 (9 months ago) By TBC
Responsive image
Kansela Angela Merkel wa Ujerumani
Responsive image

Kansela Angela Merkel wa Ujerumani, na mpinzani wake Martin Schulz wanajiandaa kushiriki mdahalo pekee wa televisheni kuhusu uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 24 mwezi huu.

Merkel ambaye anaongoza chama chenye msimamo wa wastani cha Christian Democratic Union -CDU katika wiki za hivi karibuni amekuwa akiongeza kufanya kampeni zake wakati ambapo anagombea kipindi cha nne madarakani katika nchi yake inayoongoza kwa uchumi barani Ulaya.

Schulz alikuwa Rais wa Bunge la Ulaya hadi Chama cha Social Democratic -SPD kilipomteua mwezi Januari kupambana na Merkel.

CHANZO DW

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment