Responsive image
Responsive image
Posted : August 23, 2017 (9 months ago) By TBC
Responsive image
Rais wa TFF, Wallace Karia
Responsive image

Serikali imeutaka uongozi mpya wa shirikisho la soka hapa nchini (TFF) kuendesha shughuli zake kwa kufuata weledi ili kuepuka kukumbwa na migongano inayoathiri shughuli za utendaji

Waziri mwenye dhamana ya Michezo Dr Harrison Mwakyembe amesema sheria na taratibu ndio msingi pekee huku Rais wa TFF, Wallace Karia akisema anaamini uongozi wake utakuwa na ushirikiano wakutosha na serikali.

Uongozi mpya wa TFF uliingia madarakani siku kumi zilizopita na unadeni kubwa la kuweka miundo mbinu mizuri ya kuendeleza soka la Tanzania.

 

Asheri Thomas

Agosti 23,2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment