Responsive image
Responsive image
Posted : August 23, 2017 (9 months ago) By TBC
Responsive image
mchezaji wao wa zamani wa klabu ya barcelona Neymar
Responsive image

Klabu ya barcelona inamshitaki mchezaji wao wa zamani Neymar na kumtaka kurudisha kiasi cha euro millioni 8.5 zaidi ya milioni 20 za kitanzania juu ya uhamisho wake wa kwenda PSG uliovunja recodi ya dunia

Mbrazili huyo alitengeneza kiasi cha euro million mia mbili mwezi Agasti mwaka huu baada ya kujiondoa kwenye mkataba wake na Barcelona

Barcelona sasa imemtaka Neymar kurudisha marupu rupu aliyokuwa akipokea baada ya kusign upya mkataba wake kwa kuwa hajatimiza muda wa mkataba vile vile Barca imetaka asilimia 10 zaidi kwa kucheleweshwa malipo hayo .

 

 Asheri Thomas

Agosti 23,2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment