Responsive image
Responsive image
Posted : August 12, 2017 (6 months ago) By TBC
Responsive image
Uhuru Kenyatta wa Kenya
Responsive image

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amechaguliwa tena kuongoza taifa hilo kwa kipindi kingine cha miaka mitano ijayo.

Kenyatta aliyeingia madarakani mwaka 2013 amepata 54.3% ya kura zote akimshinda mpinzani wake Raila Odinga aliyepata 44.7% ya kura zote.

Baada ya matokeo kutangazwa Kenyatta ameomba wananchi wote wa Kenya kuwa wamoja huku akiwataka wapinzani kufahamu kuwa wote ni raia wa taifa moja.

Uchaguzi mkuu nchini Kenya ulifanyika Agosti nane mwaka huu.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment