Responsive image
Responsive image
Posted : August 11, 2017 (7 months ago) By TBC
Responsive image
Rais Abdel Fatttahal Al Sisi wa Misri
Responsive image

Rais Abdel Fatttahal Al Sisi wa Misri wiki ijayo anatarajiwa kufanya ziara yake ya kwanza ya siku mbili hapa nchini ikiwa ni mwaliko kutoka kwa mwenyeji wake Rais Dkt. John Magufuli.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini DSM, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulika na mambo ya nje Dkt. Aziz Mlima amesema Rais Abdel Fatttahal Al Sisi ataambatana na wafanyabiashara na watumishi wengine wa serikali.

 

Bakari Mwarabu                     

11/8/2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment