Responsive image
Responsive image
Posted : August 11, 2017 (7 months ago) By TBC
Responsive image
Katikati ni Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa
Responsive image

Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa  amewataka wafanyabiashara wote wafanyao kazi uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere  kulipa madeni ya kodi zao zote ndani ya mwezi mmoja ili mamlaka ya Viwanja vya ndege waweze kutoa huduma bora.

Waziri Mbarawa ameyasema hayo jijini DSM wakati wa kikao na wafanyabiashara wafanyao kazi katika uwanja huo kuwa ulipaji kodi utaboresha huduma zinazotolewa katika uwanja huo.

Kuhusu ulipaji kodi kwa wafanyabiashara hao Waziri Mbarawa akatoa muda wa mwezi mmoja  kulipwa kwa madeni hayo.

 

Doreen Mlay                    

11/8/2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment