Responsive image
Responsive image
Posted : August 10, 2017 (6 months ago) By TBC
Responsive image
Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa
Responsive image

 

Kilio cha wakulima  kuhusu  zao la Tumbaku Mkoani Tabora kimekwisha baada ya mazungumzo kati ya  serikali na kampuni  zinanunua zao hilo kufikia makubaliano ya kuzinunua tumbaku zilizokuwa zimekosa kampuni ya kuzinunua

Akizungumza mkoani Tabora Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amesema tumbaku yote iliyokosa mnunuzi itanunuliwa na kampuni zilizokuwa zikinunua tumbaku mkoani humo

 

DOTTO ELIAS

AGOSTI 10,2017

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment