Responsive image
Responsive image
Posted : August 10, 2017 (6 months ago) By TBC
Responsive image
Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masaun
Responsive image

Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni ametoa wito kwa Mamlaka ya Bandari nchini-TPA, Jeshi la Polisi kikosi cha Bandari na Jeshi la Uhamiaji kuhakikisha abiria na mizigo inayopita inakaguliwa

Naibu Waziri MASAUNI ametoa wito huo katika ziara ya kukagua namna watalii wanavyopokelewa katika bandari ya Dar es salaam.

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhandisi Ramo Makani amesema ni muhimu kuweka takwimu vizuri za watalii wanaopita katika bandari zote ili kujua idadi kamili ya watalii wanaokuja kwa kutumia njia ya maji.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment