Responsive image
Responsive image
Posted : August 09, 2017 (6 months ago) By TBC
Responsive image
Uhuru Kenyatta
Responsive image

Tume ya  Uchaguzi nchini Kenya IEBC imeendelea kutoa matokeo ya uchaguzi kwa kiti cha urais na hadi sasa Mgombea kupitia Chama cha Jubilee Uhuru Kenyatta anaongoza kwa kura milioni 7.7 sawa na asilimia 54.44% dhidi ya Mgombea wa Muungano wa NASA Raila Odinga aliyepata kura milioni 6.3  sawa na asilimia 44.71%.

Aidha Mgombea wa Muungano wa NASA Raila Odinga tayari amejitokeza mbele ya waandishi wa habari na kusema hayatambui matokeo hayo kwa kile anachodai kuwa yameghubikwa na udanganyifu.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment