Responsive image
Responsive image
Posted : August 08, 2017 (7 months ago) By TBC
Responsive image
Wakulima wa korosho katika mikoa ya Lindi na Mtwara katika maadhimisho ya sherehe za wakulima maarufu kama sherehe za nane nane mwaka huu.
Responsive image

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wakulima wa korosho katika mikoa ya Lindi na Mtwara  kutunza mapato ili yawasaidie katika maisha yao.

 

Makamu wa Rais Samia  ametoa wito huo mkoani Lindi wakati wa maonyesho ya wakulima  ya nane nane ambapo amesema fedha za korosho zikitumika vema zitawasaidia kubadilisha maisha yao.

 

Maonyesho ya wakulima ya nane nane kitaifa yamefanyika mkoani Lindi.

 

 

 

DOREEN MLAY                     

AGOSTI 8, 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment