Responsive image
Responsive image
Posted : August 07, 2017 (7 months ago) By TBC
Responsive image
Mwanariadha Mtanzania Alphonce Simbu
Responsive image

Mwanariadha Mtanzania Alphonce Simbu ametwaa Medali ya Shaba katika mbio za Marathon kwenye mashindano ya Riadha ya Dunia yanayofanyika mjini London ,Uingereza.


Simbu amefanikiwa kutwaa medali hiyo baada ya kumaliza katika nafasi ya tatu akitumia muda wa saa 2:09:51.
Bingwa wa mbio hizo ni Geoffrey Kirui wa Kenya aliyetumia muda wa saa 2:08:27 huku Tamirat Tola wa Ethiopia akimaliza katika nafasi ya pili kwa muda wa saa 2:09:49.

Tumia nafasi hii kutoa neno la pongezi kwa Mtanzania mwenzetu

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment