Responsive image
Responsive image
Posted : January 29, 2018 (4 months ago) By TBC
Responsive image
Maofisa usalama Afghanistan wakiwa wamefunga njia zinazoelekea eneo la shambulio
Responsive image

Vyombo vya habari nchini Afghanistan vimeripoti kuwa milio ya bunduki na milipuko ya mabomu imesikika katika chuo cha jeshi katika mji mkuu wa nchi hiyo Kabul.

Taarifa zaidi kutoka nchini humo zimesema kuwa Chuo Kikuu cha Ulinzi wa Taifa za Fahim kimeshambuliwa mapema siku ya Jumatatu asubuhi.

Matukio hayo kuja ikiwa ni siku chache baada ya bomu kushambulia mji wa Kabul wakati gari la wagonjwa lililoegeshwa kulipuka na kuua watu wapatao mia moja.

Hivi karibuni Makundi ya Islamic State na Taliban yamefanya mashambulizi nchini humo.

 

 

 

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment