Responsive image
Responsive image
Posted : January 17, 2018 (4 months ago) By TBC
Responsive image
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani, Papa Francis na Rais wa Chile Michelle Bachelet
Responsive image

 

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani, Papa Francis amewasili nchini Chile akiwa katika ziara yake ya wiki moja ya kiserikali na kiroho katika nchi za America ya kusini. Papa anatarajiwa kutangaza amani na umoja akiwa katika nchi hizo za America ya Kusini.

Hata hivyo kiongozi huyo wa kanisa katoliki amekutana na maandamano kutoka kwa waumini wa Kanisa hilo ambao hawaridhishwi na vitendo vya baadhi ya makasisi wa kanisa hilo.

Hii ni mara ya kwanza Papa Francis mwenye umri wa miaka 81 kuzuru nchini Chile tangu alipochaguliwa kushika wadhifa huo mwaka 2013.

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment