Responsive image
Responsive image
Posted : January 12, 2018 (4 months ago) By TBC
Responsive image
Rais wa Rwanda Paul Kagame
Responsive image

Rais Paul Kagame wa Rwanda anatarajiwa kuwasili nchini Jumapili Januari 14 2018 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

Akizungumzia ujio huo Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda amewataka wakazi wa jiji la Dar Es Salaam kujitokeza kwa wingi kumlaki kiongozi huyo. 

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment