Responsive image
Responsive image
Posted : January 11, 2018 (4 months ago) By TBC
Responsive image
Alphayo Kidata
Responsive image

Rais Dkt. John Magufuli amemteua Alphayo Kidata kuwa Balozi.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imesema uteuzi huo umeanza jana  Januari 10, 2018.

Kabla ya uteuzi huo, Kidata alikuwa Katibu Mkuu, Ikulu.

Wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua Meja Jenerali Mstaafu Simon Mumwi kuwa Balozi.

Mabalozi hao wateule wataapishwa na kupangiwa vituo vya kazi baada ya taratibu kukamilika.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment