Responsive image
Responsive image
Posted : January 10, 2018 (3 months ago) By TBC
Responsive image
Waziri TAMISEMI, Seleman Jafo
Responsive image

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Seleman Jafo amewataka Wakurugenzi wa halmashauri nchini kusimamia kwa karibu vituo 205 vya afya vitakavyokarabatiwa kwenye halmashauri zao.

Waziri Jafo ameyasema hayo jijini Dar es salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari na kusema tayari serikali imeshapeleka shilingi bilioni hamsini na tisa kwa ajili ya ukarabati huo.

Amesema lengo la serikali ni kuhakikisha vituo vyote vya afya vina uwezo wa kutoa huduma ya dharura na upasuaji kwa wajawazito.

 

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment