Responsive image
Responsive image
Posted : January 06, 2018 (3 months ago) By TBC
Responsive image
Mwanariadha Alphonce Felix Simbu
Responsive image

Shirikisho la riadha hapa nchini limethibitisha kuwa mwanariadha Alphonce Felix Simbu hatashiriki mashindano ya jumuiya ya madola mwaka huu ili kuumpa muda wa kujiandaa na mashindano mengine ya kimataifa.

Akizungumza katika katika kipindi cha jambo Tanzania katibu mkuu wa shirikisho la riadha Tanzania Wilhelm Gidabuday amesema mwanariadha Simbu hatashiriki mashindano ya jumuiya ya madola ili afanye maandalizi ya kujiandaa  na mashindano ya Tokyo 2020 ili aweze kufanya vizuri na kuiletea sifa Tanzania.

Katibu Mkuu huyo ameongeza kusema kuwa watanzania wanatakiwa wakubaliane na jambo hilo

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment