Responsive image
Responsive image
Posted : January 04, 2018 (3 months ago) By TBC
Responsive image
Rais Donald Trump wa Marekani
Responsive image

Rais Donald Trump wa Marekani amesema aliyekuwa mmoja kati ya washauri wake katika kupanga mikakati ya maendeleo ya nchi hiyo Stev Bannon hayuko sawa kifikra baada ya kuandika kitabu chake kipya kinachoishutumu serikali ya Marekani.

Bannon amemuelezea Trump kama ni muota ndoto za mchana anapokuwa akijaribu kurejesha mahusiano kati ya Marekani na iliyokuwa nchi hasimu ya taifa hilo, Russia.

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment