Responsive image
Responsive image
Posted : January 03, 2018 (4 months ago) By TBC
Responsive image
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Utangazaji TBC William Kallaghe
Responsive image

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Utangazaji TBC William Kallaghe amewahakikishia wananchi kuwa mwaka 2018 TBC imejipanga kuwaletea wananchi vipindi vyenye maudhui mazuri na habari zinazogusa wananchi ili kutimiza lengo lake la kuhabarisha umma.

Kallaghe amesema hayo baada ya kutembelea Kituo cha kurushia matangazo cha mkoa wa Iringa kilichopo eneo la Mafifi na kuzungumza na watumishi wa TBC.

IRENE MWAKALINGA

JANUARI 03, 2018

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment