Responsive image
Responsive image
Posted : January 02, 2018 (4 months ago) By TBC
Responsive image
Responsive image

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni ameelekeza kuundwa kwa kamati ya wataalamu kukagua kwa kina magari ya Jeshi la Polisi yaliyoingizwa nchini kutoka India baada ya kugundulika kuwa na dosari.

Naibu Waziri Masauni ametoa agizo hilo jijini DSM baada ya kufanya ukaguzi wa magari hayo ikiwa ni kutekeleza agizo la Rais Dkt. John Magufuli.

Magari hayo ni sehemu ya magari 777 ambayo serikali iliingia mkataba na Kampuni ya Ashok Layland mwaka 2013 wenye thamani ya dola za Marekani milioni 29.6

BAKAR MWARABU

2 JANUARI 2018

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment