Responsive image
Responsive image
Posted : January 02, 2018 (4 months ago) By TBC
Responsive image
Mechi ya Man United na Everton
Responsive image

Manchester United wamepanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu ya England baada ya kuilaza Everton kwa mabao mawili kwa bila kwenye mchezo uliopigwa kwenye dimba la Goodson Park.

Anton Martial na Jesse Lingard ndiyo mashujaa wa United katika mchezo huo uliopigwa usiku wa kuamkia leo baada ya kuwaandikia mashetani hao wekundu magoli katika dakika za 57 na 81.

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment