Responsive image
Responsive image
Posted : January 02, 2018 (4 months ago) By TBC
Responsive image
Mkuu wa wa wilaya ya Kinondoni Dar es salaam Ally Hapi
Responsive image

Mkuu wa wa wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam , Ally Hapi ameanza uchunguzi wa  mikataba ya barabara kumi za manispaa hiyo  baada ya kubaini matengenezo yake kutokidhi viwango na kusababaisha kero kwa watumiaji wa barabara hizo.

Ali Hapi amesema hayo baada ya kufanya ziara ya ukaguzi wa ujenzi  wa barabara mbalimbali za manispaa hiyo zinazofanyiwa marekebisho.

Jumla ya vipande vya barababara vyenye ukubwa wa zaidi ya mita za mraba elfu 20 vinafanyiwa marekebisho katika maeneo mbalimbali ya manispaa hiyo ili kundokana na adha ya mashimo. .

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment