Responsive image
Responsive image
Posted : January 01, 2018 (4 months ago) By TBC
Responsive image
kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa
Responsive image

Dar es salaam shwari  -  RPC Mambosasa

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limesema kuwa hali ya usalama katika kanda hiyo  kwa kipindi cha sikukuu ya Krismas hadi kufikia mkesha wa mwaka mpya ilikuwa salama na hakuna tukio lolote kubwa la kihalifu lililoripotiwa.

Akizungumza wakati wa doria kwa kutumia helikopta, kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amesema hali hiyo imetokana na ulinzi kuimarishwa katika kipindi chote cha sikukuu kwa kutumia vikosi mbalimbali vya doria .

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment