Responsive image
Responsive image
Posted : December 31, 2017 (4 months ago) By TBC
Responsive image
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe
Responsive image

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe ameiomba serikali kuingozea nguvu Tume ya maadili ili kuboresha utendaji kazi wake na kuongeza nguvu katika kuwatumikia wananchi.

Akizungumza na wanahabari nyumbani kwake jijini Dar es salaam katika kuwashukuru na kuwapongeza kwa kumaliza mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018 Mbowe amesema kutokana na kazi kubwa ya kuwatumikia kundi kubwa la viongozi Tume hiyo inapaswa kuongezewa watendaji.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment