Responsive image
Responsive image
Posted : December 30, 2017 (4 months ago) By TBC
Responsive image
Kamishna Mkuu wa TRA Charles Kichere
Responsive image

Mamlaka ya Mapato Tanzania  TRA  imemtaka Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Zakaria Kakobe kutoa ushirikiano kwa mamlaka hiyo ambayo iko mbioni kuchunguza mapato yake. 

Akizungumza na waandishi wa habari  jijini Dar es salaam Kamishna Mkuu wa TRA Charles Kichere amesema lengo la kumchunguza ni kutaka kufahamu chanzo cha mapato yake.

Hivi karibuni wakati  wa ibada ya Krismas Askofu Kakobe alitoa matamko yanayoashiria kuwa ana fedha nyingi kuizidi hata serikali.

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment