Responsive image
Responsive image
Posted : December 29, 2017 (4 months ago) By TBC
Responsive image
Kocha wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger
Responsive image

Kocha wa klabu ya Arsenal ,Arsene Wenger  amesema hana wasiwasi iwapo mchezaji  Alexis Sanchez ataondoka januari mwakani licha ya kuwa ameifungia timu yake magoli mawili katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya Crystal Palace.

Tetesi zimekuwa zikidai  kuwa hueda mchezaji huyo akahamia katika klabu ya Manchester City baada ya mkataba wake kumalizika  msimu huu.

Katika mchezo huo Arsenal iliibuka na ushindi wa magoli matatu kwa mawili  magoli ya Arsenal yakifungwa na mchezaji Mustafi huku Alex Sanchez akifunga mawili .

Magoli ya timu ya Crstal Palace yalifungwa na wachezaji  Andros Townsend na mchezaji James Tomkins.

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment