Responsive image
Responsive image
Posted : December 29, 2017 (4 months ago) By TBC
Responsive image
Msemaji wa TFF Alfred Lucas
Responsive image

Ligi kuu Tanzania Bara inatarajia kuendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa uwanja wa Chamazi ambapo wenyeji Azam Fc watawakaribisha Stand United ya Shinyanga, mchezo utakaoanza saa moja usiku.

Msemaji wa TFF Alfred Lucas  amesema baadhi ya michezo itachezwa  saa nane mchana tofauti na awali ambapo michezo yote ilikuwa inafanyika saa kumi jioni.

Mchezo mwingine utakaochezwa saa nane mchana ni  Njombe Mji wakiwakaribisha na Singida United katika uwanja wa Sabasaba mkoani Njombe siku ya jumapili.

 
Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment