Responsive image
Responsive image
Posted : December 27, 2017 (4 months ago) By TBC
Responsive image
Timu ya Zanzibar mabingwa wapya wa Copa Dsm Beach Soccer
Responsive image

Timu ya Zanzibar ndio mabingwa wapya wa mashindano ya Copa Dsm Beach Soccer baada ya kuwalaza malawi magoli matatu kwa mawili katika mchezo wa fainali ya mashindano hayo.

Zanzibar wanatwaa taji hili baada ya kuonyesha ubabe wao mbele ya Tanzania bara ambao walikuwa wenyeji, Malawi na Uganda.

Kwa ushindi huo Zanzibar wametwaa kikombe cha ushindi pamoja na medali.

Katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu, tanzania bara wametwaa nafasi hiyo baada ya kuwafunga Uganda magoli matano kwa manne.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment