Responsive image
Responsive image
Posted : December 16, 2017 (3 months ago) By TBC
Responsive image
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani
Responsive image

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema serikali itaondokana na matumizi ya mitambo ya umeme inayotumia mafuta kwa kuwa inatumia gharama kubwa kuiendesha.

Akizungumza  mkoani  Ruvuma mara baada ya kutembelea mtambo mpya wa Namtumbo unaotumia mafuta ,Waziri Kalemani amesema matumizi ya mitambo ya umeme ya mafuta yamekuwa yakisababisha hasara kwa serikali.

Kwa upande wake Mhandisi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wilaya ya Namtumbo, Lazaro Renoi amemweleza Waziri  huyo kuwa mtambo mmoja uliopo wilayani humo, hautoshelezi mahitaji.

NOWELA NJAWA     

DISEMBA 16, 2017 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment