Responsive image
Responsive image
Posted : December 07, 2017 (4 months ago) By TBC
Responsive image
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihutubia katika uzinduzi wa ofisi za UN Dodoma
Responsive image

 

Waziri Mkuu ameupongeza Umoja huo kwa kile alichosema kuwa ni kawaida yake ya kuunga mkono jitihada mbali mbali za serikali, jambo ambalo lina tija kubwa kwa Taifa.

 

Uamuzi uliofanywa na Umoja huo unaunga mkono uamuzi ulitolewa na Rais Dkt. John Magufuli wa kutekeleza kwa vitendo uamuzi wa kuhamisha makao maakuu ya nchi kutoka jijini Dar es Salaam kwenda Dodoma, ulioasisiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.

 

Waziri Mkuu amesema Kitendo cha Umoja wa Mataifa kuhamia Dodoma ni hatua muhimu kwani itachochea taasisi nyingine za kitaifa na kimataifa kuhamia mkoani humo.

 

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment