Responsive image
Responsive image
Posted : December 07, 2017 (4 months ago) By TBC
Responsive image
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango
Responsive image

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amewaahidi wafanyabiashara na wawekezaji nchini kwamba serikali italifanyia kazi suala la kodi katika Bajeti ijayo ya mwaka 2018/2019 ili kuboresha zaidi  mazingira ya uwekezaji na biashara kupitia sekta binafsi.

Dokta Mpango ameyasema hayo mjini Dodoma katika mkutano wa tatu kati ya Serikali na Sekta binafsi ambapo masuala mbalimbali yanayohusu kodi yamejadiliwa ikiwa ni mwendelezo wa Serikali wa kutaka kuiimarisha Sekta hiyo ili iweze kuchangia ukuaji wa uchumi.

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment