Responsive image
Responsive image
Posted : December 05, 2017 (6 months ago) By TBC
Responsive image
Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela
Responsive image

Mazishi ya aliyekuwa Rais wa zamani Afrika Kusini , Nelson Mandela  yanadaiwa kukumbwa na ufisadi mkubwa ambao unadaiwa kutekelezwa na viongozi wakuu nchini humo.

Mamlaka ya kupambana na rushwa nchini humo imebaini kuwa takriban dola billioni 22 million ilitumika vibaya wakati wa matayarisho ya mazishi ya Mandela miaka minne ilyopita.

Ripoti hiyo inasema kwamba viongozi hao walivuja pesa na kukiuka taratibu zilizowekwa huku ikisemekana kwamba gharama za bidhaa ziliongezwa maradufu na matumizi mazishi kutajwa kuwa ya juu sana kwa mfano shati za kumbukumbu ya mazishi zilinunuliwa kwa dola 25 badala ya dola19 .

Hata hivyo ripoti hiyo imetaka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya wahalifu waliofanya jambo hilo la kushangaza katika jamii.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment