Responsive image
Responsive image
Posted : December 04, 2017 (6 months ago) By TBC
Responsive image
Baadhi ya mabweni ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yaliyojengwa na TBA
Responsive image

 

Wakala wa Majengo nchini TBA wamewatoa wasiwasi watumiaji wa Majengo ya hosteli za Magufuli kutokana na picha zinazoonyesha nyufa katika jengo hilo.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mtendaji Mkuu wa TBA Mhandisi Elius Mwakalinga amesema ufa katika majengo hayo hauna tatizo na upo hapo kitaalamu.

Hosteli za Magufuli zimeanza kutumiwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia mwaka wa masomo 2017/2018.

DOREEN MLAY

DISEMBA 04, 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment