Responsive image
Responsive image
Posted : November 29, 2017 (6 months ago) By TBC
Responsive image
Makamu wa Rais Samia Suluhu akimjulia hali Tundu Lissu hospitalini Nairobi
Responsive image

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amemtembelea Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu anayepatiwa matibabu katika hospitali ya Nairobi nchini Kenya baada ya kujeruhiwa kwa risasi na watu wasiofahamika mkoani Dodoma. 

Makamu wa Rais amemtembelea Lissu baada ya kushiriki kuapishwa kwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta. 

Akizungumza na Makamu wa Rais Tundu Lissu amemwomba Makamu wa Rais afikishe salamu zake kwa Rais Dkt. John Magufuli. 

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment