Responsive image
Responsive image
Posted : November 14, 2017 (6 months ago) By TBC
Responsive image
Waziri Mkuu wa LEBABON, SAAD HARIRI.
Responsive image

Waziri Mkuu wa LEBABON SAAD HARIRI anasema kuwa atarudi nyumbani siku chache zinazokuja kutangaza rasmi kujiuzulu kwake.

 

HARIRI amezungumza hayo kwa njia ya televisheni akiwa katika Mji Mkuu wa SAUDU ARABIA, RIYADH yakiwa ndiyo matamshi yake ya kwanza tangu atangaze kujiuzulu wiki iliyopita.SAAD HARIRI  amekanusha taarifa kuwa anashikiliwa mateka nchini SAUDI ARABIA.

 

HARIRI aliteuliwa kuunda Serikali ya LEBANON mwezi Novemba mwaka 2016.

 

 

 

GHANIYA JUMBE

13 NOVEMBA 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment