Responsive image
Responsive image
Posted : November 08, 2017 (6 months ago) By TBC
Responsive image
TBC
Responsive image

Shirika La Utangazaji Tanzania (TBC)   linakuarifu kuwa kutokana na kuboresha urushaji wa matangazo kwa mfumo mpya wenye ubora zaidi kwa njia ya setelite. kwa wale wanaokosa matangazo baada ya kuwashwa kwa mtambo huo, wanapaswa kuzima na kuwasha tena visimbuzi vyao (retune recever) ili kupata tena matangazo ya tbc 1 na TBC 2 kwa ubora zaidi.

 

Shirika linakutakia utazamaji mwema wa matangazo yake katika ubora zaidi.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment