Responsive image
Responsive image
Posted : November 01, 2017 (7 months ago) By TBC
Responsive image
Kinyerezi One
Responsive image

Hitilafu katika mfumo wa kupokea gesi kwenye kituo cha kuzalisha umeme katika njia ya gesi asilia cha Kinyerezi One imesababisha kukatika kwa umeme katika maeneo mbalimbali hapa nchini.

 

Meneja Mwandamizi uzalishaji umeme Mhandisi Costa Rubagumya amesema hitilafu hiyo imesababisha kuzimwa kwa umeme katika maeneo mbalimbali  nchini.

 

Kwa upande wake Meneja Mawasiliano wa Shirika la Umeme Nchini – TANESCO, Leila Muhaji amesema juhudi za kurejesha umeme zinaendelea kupitia kwa wataalamu wa shirika hilo.

 

 

 

LEVINA KATEULE

NOVEMBA 01, 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment