Responsive image
Responsive image
Posted : October 20, 2017 (6 months ago) By TBC
Responsive image
Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ambayo ni mmiliki mkubwa wa kampuni ya Acacia Mining Limited, Prof. John L. Thornton
Responsive image

Baada ya matokeo ya majadiliano kati  ya kampuni ya madini ya ACACIA na serikali ya Tanzania kutangazwa leo hisa za kampuni hiyo katika masoko mbalimbali ya hisa duniani zimepanda

 

Katika soko la  hisa la landon hisa hizo zimepanda  kwa asilimia 22.74 baada ya mauzo ya hisa zake kufikia  pound za wingereza 230.10 kwa hisa moja

 

Hapo awali kabla na wakati wa  majadiliano hisa hizo zilishuka kwa kiasi kikubwa ambapo kwa soko la hisa la Dar es salaam DSE baada ya Rais Dkt. John Magufuli kuzuia  makinikia kusafirishwa nje ya nchi hisa za ACACIA zilishuka kutoka shilingi elfu 13000 kwa hisa moja mpaka 5520 mapa wiki iliyopita  

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment