Responsive image
Responsive image
Posted : October 10, 2017 (5 months ago) By TBC
Responsive image
Mmoja wa wafanya biashara katika soko la kimara akielezea hali iliyowafanya kurudi sokoni hapo
Responsive image

Licha ya kubomolewa vibanda vyao na kuamriwa kuondoka, Baadhi ya Wafanyabiashara wadogo wa soko la Kimara jijini Dar es salaam wamerejea eneo hilo wakidai hawana mahali pa kufanyia shughuli zao.

Wafanyabiashara hao wameioomba serikali kuwatafutia eneo la mbadala kufanyia shughuli zao ili kupisha upanuzi wa ujenzi wa maegesho ya magari ya mwendokasi -UDART.

BAKARI MWARABU

OCTOBA 10, 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment