Responsive image
Responsive image
Posted : October 10, 2017 (5 months ago) By TBC
Responsive image
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako
Responsive image

Zaidi ya wanafunzi elfu thelathini walioomba kujiunga na masomo ya elimu ya juu nchini wamekosa udahili baada ya kushindwa kukidhi vigezo vilivyowekwa na mwisho wa udahili ni hii leo saa sita usiku

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa  Joyce Ndalichako amesema hayo katika mahojiano maalumu TBC ambapo amevionya vyuo vilivyofungiwa udahili kutodahili wanafunzi.

Kuhusu utayari mazingira wezeshi kwa wanafunzi wenye ulemavu katika shule mbalimbali, serikali imekiri bado mazingira siyo wezeshi hususani katika shule za msingi.

 

GLORIA MICHAEL

OCTOBA 10, 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment