Responsive image
Responsive image
Posted : October 09, 2017 (6 months ago) By TBC
Responsive image
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera ,Bunge, Kazi ,Vijana Ajira na Watu wenye ulemavu Jenista Mhagama
Responsive image

Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera ,Bunge, Kazi ,Vijana Ajira na Watu wenye ulemavu  Jenista Mhagama  ameiagiza mikoa na halmashauri  zote nchini kuhakikisha wanakuwa na takwimu sahihi za watu wenye ulemavu ili mamlaka ziweze kuwafuatilia kwa urahisi.

Waziri Mhagama ametoa agizo hilo alipokwenda katika hospitali ya  Rufaa ya mkoa wa Morogoro  kwa lengo la kumjulia hali mlemavu wa ngozi Nassoro Msigiri aliyekatwa mkono  wa kushoto na watu wasiojulikana akiwa amelala nyumbani kwake Duthumi wilayani Morogoro.

 

PRAXEDA MTANI

OCTOBA 10, 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment