Responsive image
Responsive image
Posted : September 23, 2017 (5 months ago) By TBC
Responsive image
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais John Magufuli katika hafla ya kutunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi wa kijeshi katika Kundi 61/16 Aruasha
Responsive image

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais John Magufuli ametoa wito kwa Watanzania kuwa walinzi wazuri wa rasilimali za taifa pamoja na kuwafichua watumishi wasio waadilifu na mafisadi ili kupata fedha za maendeleo ya nchi.

Rais Magufuli ametoa wito huo mara baada ya kutunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi wa kijeshi katika Kundi 61/16, hafla iliyofanyika  katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha

 

Bakari Mwarabu.

Septemba 23,2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI
Ladies FashionAkidu kalinjuna  |  5 months ago   |   October 06, 2017
"Mpangilio wa habari ni mzuri ila uboreshwe zaidi"

Leave Your Comment