Responsive image
Responsive image
Posted : September 22, 2017 (8 months ago) By TBC
Responsive image
Uchaguzi wa marudio nchini Kenya umesogezwa mbele hadi tarehe 26 Oktoba.
Responsive image

Uchaguzi wa marudio nchini Kenya uliopangwa kufanyika Oktoba 17 mwaka huu umesogezwa mbele hadi tarehe 26 Oktoba.

 

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya – IEBC imetangaza mabadiliko hayo ikiwa ni siku moja baada ya mahakama ya juu nchini humo kutoa ufafanuzi wa maamuzi ya kutengua matokeo ya uchaguzi wa Rais uliofanyika Agosti nane  mwaka huu.

 

Uamuzi huo umekuja muda mfupi baada ya baraza la mawaziri nchini humo kupitisha kiasi cha shilingi Bilioni 10 za Kenya kwa ajili ya uchaguzi wa marudio.  

 

 

SEPTEMBA 22, 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment