Responsive image
Responsive image
Posted : September 21, 2017 (5 months ago) By TBC
Responsive image
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu
Responsive image

Serikali  imesema ipo tayari kugharamia matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ambaye kwa sasa anapata matibabu  jijini Nairobi nchini Kenya baada ya kushambuliwa kwa kupigwa risasi mjini Dodoma.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu mara baada ya kukutana na wanahabari jijini Tanga.

 

Bertha Mwambela

21 Septemba 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment