Responsive image
Responsive image
Posted : May 19, 2017 (10 months ago) By TBC
Responsive image
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
Responsive image

Mamia ya watu wanaoiunga mkono Serikali ya Kenya wamejitokeza nje ya ofisi Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo lengo kubwa likiwa ni kuishuruku na kuipongeza serikali.

Watu hao wamekuwa wakimshukuru Kaimu Rais wa Kenya, William Rutto kwa kupunguza bei ya unga wa mahindi kutoka wastani wa  Shilingi 144 za Kenya kwa kilo mbili za unga wa mahindi hadi kufikia Shilingi 90 za Kenya.

Kwa maana hiyo kilo moja ya mahindi itakuwa ikiuzwa kwa Shilingi 45 za Kenya.

Waandamanaji wameshindwa kuficha furaha yao baada ya tangazo la punguzo la bei kwani kwa kipindi kirefu wamekuwa wakilalamikia gharama za unga wa ugali.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment