Responsive image
Responsive image
Posted : May 18, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Gereza lashambuliwa Kongo na wafungwa kutoroka
Responsive image

Zaidi ya wafungwa hamsini waliokuwa wakishikiliwa katika gereza moja huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wametoroka, baada ya gereza walimokuwa wakishikiliwa kushambuliwa.

Miongoni mwa wafungwa waliofanikiwa kutoroka ni pamoja na kiongozi wa kikundi kimoja cha dini ya Kikristo, ambaye inasemekana wafuasi wake walisaidia uvamizi wa gereza hilo ili wamtoe gerezani.

Kiongozi huyo wa dini alikamatwa mwezi Machi mwaka huu, baada wafuasi wake kupambana na Polisi.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment