Responsive image
Responsive image
Posted : May 03, 2017 (5 months ago) By TBC
Responsive image
Bei ya petrol dizeli na mafuta ya taa imeshuka kwa wastani wa shilingi 42.33 kwa bei ya rejareja
Responsive image

Bei ya petrol ,dizeli na mafuta ya taa imeshuka kwa wastani wa shilingi 42.33 kwa bei ya rejareja kutokana na kupungua kwa bei ya mafuta hayo katika soko la dunia pamoja na kuimarika kwa shilingi dhidi ya dola ya marekani.

Kwa mujibu wa bei ya kikomo iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta –EWURA bei ya dizeli imeshuka kwa shilingi 80, petroli kwa shilingi 31 na mafuta ya taa kwa shilingi 16 kwa kila lita

Meneja  uhusiano na mawasiliano wa -Ewura Titus Kaguo amesema bei hizo zitatumika kuanzia  Jumatano May 3 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment