Responsive image
Responsive image
Posted : May 06, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akinunua hisa toka kampuni ya Simu ya Vodacom
Responsive image

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amenunua Hisa za thamani ya shilingi milioni 20 za kampuni ya Simu ya Vodacom ili kuwahamasisha watanzania kuchangamkia fursa za uwekezaji kwenye masoko ya hisa na mitaji.

 Akizungumza wakati akinunua Hisa hizo jijini Dar es salaam Waziri Mkuu amesema hisa za shilingi milioni 10 kati ya hisa hizo ni za kwake na  na zinazobakia ni kwa ajili ya Mke wake Mary Majaliwa.

Wakizungumzia uwekezaji huo waziri wa Fedha na mipango Dokta Philip Mpango na katibu mtendaji wa baraza la uwezeshaji wananchi kiuchumi NEEC Beng’i Issa wamewataka wakulima na wafugaji kuwekeza kwenye Hisa ili waweze kunufaika moja kwa moja na ukuwaji Wa uchumi .

 

 

 Vumilia Mwasha

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI
Ladies FashionAxel Bahoze  |  6 months ago   |   October 06, 2017
"Ngoja Tujiandae"

Leave Your Comment