Responsive image
Responsive image
Posted : May 04, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Mampuni mbalimbali toka nje yatakiwa kushisriki katika maonesho ya kimataifa ya biashara ya 41 maarufu kama sabasaba
Responsive image

Mamlaka ya maendeleo ya biashara nchini TANTRADE imeanza kuwatafuta wafanyabiashara wa nje ili waweze kushiriki katika maonesho ya kimataifa ya biashara ya 41 maarufu kama sabasaba

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano wa TANTRADE Theresa Chilambo amesema wamekuwa wakiwasiliana na kampuni mbalimbali za nje ili wapate washiriki kutoka nchi zaidi ya 30 kama ilivyokuwa mwaka jana.

Akielezea kuhusu wajasiriamali wa ndani Chilambo amesema wanakaribisha wenye teknolojia mpya za viwanda vidogo na watatengewa eneo lao maalumu ili kuwahamasisha wapate wadau wa kushirikiana nao.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment